Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, January 5, 2011

WATOTO WA KIKE WASAIDIWA KWA MAENDELEO YA ELIMU

Baadhi ya wanafunzi wanaofadhiliwa na Tasisi isiyo ya Kiserekali ya Umoja wa Wanawake Marafiki (UWF) kwa kushilikiana na Taasisi ya Somesha Mtoto wa Kike (SOMKI) wakiwa katika picha ya pamoja
Mwenyekiti wa Tasisi isiyo ya Kiserekali ya Umoja wa Wanawake Marafiki (UWF) Bi.Mwatendachi Madinda wa pili kushoto akewakabidhi cheki ya shilingi milioni moja kwa wanafunzi wa shule ya Ostabay (kulia) ni Fatuma Mwalimu na Fatma Mwalimu itakayowasaidia katika masomo yao anaeshuudia kushoto ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Somesha Mtoto wa Kike (SOMKI) Bi. Maryam Shamo hafla hiyo ilifanyika Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...