Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, January 8, 2011

MASHINDANO YA NGUMI MKOA WA ILALA YALIVYOFANA

akipata maelekezo kutoka kwa Uwesu A.K.A Manyota
Ikota Super D Shabiki wa Ashanti Boxing akionesha manjonjo yake
kumi si mchezo ngumi moja tu chariiiiii
Ramadhani Kimangale wa Ashanti kushoto akipambana na Yasini Juma wa Magereza
mchezaji akitolewa kikingia kinywa baada ya kuanguka
mchezaji wa timu ya Ashanti Abdallah Manyuka akinyoshwa mkono juu baada ya kuibuka na ushindi dhidi Tomas mwakenja

vijana wa Ashanti wakishangilia ushindi walioupata




juma miwani na rafiki yake wakishangilia
Mashabiki wa AShanti walikuwa wakishangilia mbayaaa ndio walioleta changamoto kwa vilabu vingine

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...