Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, January 2, 2011

ZANTEL YAFUNGUA MWAKA KWA KULA CHAKULA NA WATOTO YATIMA
Kaimu Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya Zantel,Bw.Brayani Kalokola (kushoto) akila chakula cha pamoja na watoto yatima wa kituo cha Kids Care cha Bagamoyo mkoa wa pwani chakula hicho kiliandaliwa maalumu na kampuni hiyo kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya Dar es salaam

MKurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya simu ya mkononi Zantel Bw. Mayank Roy wa pili kushoto na Mkuu wa KItengo cha Mawasiliano na Matukio wa Kampuni hiyo Bw. Wiliam Mpinga (kulia) wakira chakula cha pamoja na watoto yatima wa kituo cha Kids Care cha Bagamoyo mkoa wa pwani chakula hicho kiliandaliwa maalumu na kampuni hiyo kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...