Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, January 18, 2011

WEZI WA MADINI YA SHABA WAKAMATWA

Askari wa kikosi cha kupambana na Ujambazi wa kutumia silaha Mkoani Morogoro wakifukua kifusi cha mchanga kuona madini ya shaba yaliyofukiwa yenye kukadiriwa kuwa na thamani ya shilingi milioni 300.6
Watuhumiwa wa wizi wa madini ya shaba waliofungwa pingu wakiwa eneo la tukio Mtaa wa Forets Mjini hapa ( anayenyosha mkono) ni Mkuu wa Kikosi cha kupambana na Ujambazi wa kutumia Silaha, Afande Patric Kimaro
Makachero wakilinda nyumba iliyokutwa na madini hayo ya shaba.
Picha na mdau John Nditi wa Globu ya Jamii

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...