Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, January 13, 2011

Mazishi ya waliokufa katika vurugu za kisiasa arusha

Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema wakiwa miongoni mwa waomblezaji waliobeba jeneza la marehemu Ismail aliyekuwa mmoja wa waliokufa katika vurugu hizotayari kwa maziko nyumbani kwao maeneo ya USA River. Marehemu Dennis Shirima alikwenda kuzikwa kwao Rombo.
Katibu mkuu wa CHADEMA Dkt Wilbroad
Slaa akifarijiwa katika maombezi

Juu na chini ni waombolezaji waliojitokeza kwa wingi katika sala maalumu za kuwaombea marehemu
Picha na Woinde Shizza wa Globu ya
Jamii na wadau wa mtandao wa wanabidii kwa habari zaidi tembelea http://issamichuzi.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...