Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, January 6, 2011

THIS IS IT YA KANUMBA & JENIFFER SASA KUSHINDANISHWA BURKINAFASO


Stephen Kanumba The Great mara baada ya kukabidhiwa Tinzo yake pia ameiponda Bodi ya Filamu kwa kitendo chake cha kutoa taarifa kwa vyombo vya habari kwamba ni marufuku kwa wasanii wa filamu kuweka majina yenye lugha ya Kiingereza ilhali filamu ni zinazochezwa ni za Kiwasahili."Binafsi hao Bodi ya Filamu siwaelewi wanashindwa kupambana na wezi wa kqazi za wasanii wanakimbilia kutoa matamko ya kutishana tuache kutishana" alisema Kanumba.
Jeniffer kushoto mtoto aliyevumbuliwa kipaji na Kanumba na kung'ara katika filamu ya This It aliyocheza kama mtoto mtukutu nayefuata ni Meneja Masoko Simbiso Machine.
The Great akipokea Tunzo yake leo katika hafla fupi iliyofanyika kwenye ofisi za Steps Entertainment ambao wanasimamia mauzo ya kazi za msanii huyo anayeng'ara katika filamu . Msanii chipukizi Khanifa akiwa ameketi na mama yake kabla ya kukabidhiwa tinzo hiyo. Mtoto Jeniffer akisalimia wanahabri hawapo pichani pia amewashukuru wazazi wake kwa kumpa fursa ya kuendeleza kipaji chake na kuwataka wazazi wengine kuto wabania watoto wao . http://bongoweekend.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...