Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, January 13, 2011

Vodacom Foundation yaisaidia shule ya uhuru mchanganyiko

Meneja wa mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom(Vodacom Foundation)Yessaya Mwakifulefule pamoja na wanafunzi wenye matatizo ya mtindio wa akili wa shule ya uhuru mchanganyiko ya jijini Dares Salaam wakikata utepe kuashiria makabidhiano rasmi ya vyoo na bweni yote waliyojengewa na mfuko huo,Vodacom Foundation ilijenga kwa thamani ya zaidi ya shilingi Milion 12.
Meneja wa mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom(Vodacom Foundation)Yessaya Mwakifulefule akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wenye matatizo ya mtindio wa ubongo wa shule ya uhuru mchanganyiko ya jijini Dares Salaam mara baada ya makabidhiano radhimi ya vyoo na bweni yote waliyojengewa na mfuko huo kwa , thamani ya zaidi ya shilingi Milion 12.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...