Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, January 19, 2011

MPANGO WA MAENDELEO YA ELIMU YA SEKONDARI YAZINDULIWA LEORais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete (katikati) akikata utepe kuashilia uzinduzi wa awamu ya pili ya mpango wa maendeleo ya elimu ya sekondari Dar es salaam kushoto ni Mkurugenzi Mkazi kutoka Bank ya Dunia ambao ndio wafadhiri, Bw. John Murray McIntire na Mdau wa Maendeleo ya Elimu Balozi wa Canada Bw. Robert Orr
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete (kulia) akibonyeza kitufe kuashilia uzinduzi wa awamu ya pili ya mpango wa maendeleo ya elimu ya sekondari Dar es salaam leo kulia kwake ni Waziri wa Elimu,Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukulu Kawambwa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...