Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, January 19, 2011

MDAU OTHUMANI MICHUZI ALAMBA INTANETI YA TIGO

Meneja Uhusiano wa kampuni ya simu ya Tigo,Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mkutano wa kutambulisha huduma yao mpya ya internet leo katika ukumbi wa mikutano wa kampuni hiyo.kushito ni Meneja Mradi wa Internet wa Tigo,Titus Kafuma.
Ankal Othman Michuzi Jnr akibidhiwa zawadi ya modelm kutoka kwa Meneja Uhusiano wa Tigo,Jackson Mmbando na Meneja Mradi wa Internet wa Tigo,Titus Kafuma (katikati),hii ilikuwa ni sehemu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...