Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, January 7, 2011

NOTI MPYA MTAANI

Jamaa akionyesha noti mpya ya sh. 2,000, aliyokuwa nayo leo Ubungo jijini Dar es Salaam. Noti mpya zilianza akutumika rasmi Januari mwaka huu.http://bashir-nkoromo.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...