Mr.Mngwasa aingia kati kuokoa jahazi katika mashindani ya kujaza maji katika chupa.

Wanasaka ushindi Ilikuwa ni mashindano ya kujaza maji ktk chupa

Sasa twaweza kucheza muziki kiduchu

Ushindi mtamu Mama Resti wampangawisha

Namimi siko nyuma na my swiiiiiiiiitiiiiii mwaaaaaaaaa

hapa muziki2 Familia kivyake nami Kivyangu

Nimetoka Jiji la Mwanza kuja Kujimwanga na Wanangu mie!!

Watoto hawa ni wanani

Nango na familiayake pia walikuwapo

Oneni nyani wanangu

Bi.Mariam akiongoza kikosi kwenda kujionea wanyama

Ngamia
http://prhabari.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment