Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, January 19, 2011

Naibu Waziri wa Mwasiliano, Sayansi na Teknolojia Bw. Charles Kitwanga atembelea Kampuni ya TTCL


Baadhi ya maafisa wakiwa katika mkutano huo leo wakati Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Bw. Charles Kitwanga alipotembelea Kampuni ya simu ya TTCL na kongea na uongozi wa kampuni hiyo pamoja na maafisa wake leo
Naibu Waziri wa Mwasiliano, Sayansi na Teknolojia Bw. Charles Kitwanga akizungumza uongozi na maafisa wa kampuni ya simu ya TTCL wakati alipotembelea kampuni hiyo na kuzungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo leo jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...