Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, March 15, 2011

BREAKING NEWS DEDE ATUA MSONDO NGOMAAliyekuwa mwimbaji wa bendi ya Sikinde Shabani DEDE kulia katangaza leo jioni kuwa amejiunga rasmi na mahasimu wao wakubwa Msondo Ngoma Music Bandi Siku mbili kabla ya mpambano wao ambapo kesho ananza rasmi mazoezi na bendi yake mpyaa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...