Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, March 4, 2011

MASHINDANO YA TAIFA YA NGUMI YAMALIZIKA LEO

Baadhi ya Mashabiki wa Mkoa wa Ilala Wakimshangilia bondia wao Mussa Mohamed aliewawakilisha vema mwanzo mpaka mwisho wa mashindano hayo na kuiletea medali ya SHABA katikati ni timu meneja wa Mkoa huo Super D Boxing Coach
Bondia wa Mkoa wa Ilala Mussa Mohamedi (kushoto) akioneshana ufundi wa kutupa masubwi na Salehe Omari wa Ngome wakati wa fainal ya michuano ya Klabu bingwa Dar es salaam . Salehe alishinda kwa point. 4.1 na kuwa bingwa wa uzito wa kilo. 49 Light fly

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...