Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, March 10, 2011

SIKU YA FIGO DUNIANI YAAZIMISHWA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA LEO

Baadhi ya madaktari wakiwa tayali kuwaudumia wananchi katika viwanja vya mnazi mmoja leo

Dkt.Amiri Juya kutoka Wizara ya Afya akimpima Bw. Leonce Lyimo mmoja ya wagojwa waliojitokeza kupima wakati wa siku ya figo, Duniani iliyofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja Dar es salaam
OFISA muuguzi wa ugonjwa wa kisukari toka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Bi. Elizabeth Likoko akizungumza na watu waliofika katika siku ya figo, Duniani iliyofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...