Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, March 2, 2011

VIDEO YA SUPER D BOXING COACH KUINGIA MTAANI

BONDIA wa Zamani na KochaKAVA YA VIDEO YA SUPER D BOXING COACH wa Ngumi wa Klabu ya ngumi ya Ashanti, Rajabu Mhamila'Super D' yupo mbioni kutoa Video inayozungumzia maisha yake ya mchezo huo.Akizungumza Dar es Salaam jana, Super D alisema video hiyo itakuwa sokoni mudawowote kuanzia sasa ikizungumzia maisha yake tangu alipoanza kucheza mchezo huomwaka 1984 hadi 2010 sasa.Alisema Video hiyo itaonesha mapambano mbalimbali aliyocheza na dhidi yamabondia Mbwana Matumla, Rashidi Ali na Ajibu Salumu.Alisema lengo la kuandaa video ni kutaka kutimiza malengo yake ya kuendelezamchezo wa ngumi kwa kuwapatia vijana nafasi ya kujifunza kupitia kwake.Alisema kutokana na nchi ya Tanzania kuwana vipaji vingi atashindwa kuwafikiakila mmoja wao na badala yake amewapa fursa ya kujifunza kwa kuangalia video.Alisema Video katika kuhaikisha Video hiyo inafanya vizuri sokoni ameongezeavionjo vingine kutoka kwa mabondia maarufu duniani kama Mike Tyson, Michael Mo,Junior Myweather, Mohamed Ally, Man Paqyao na Joe Fleizer

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...