Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, March 4, 2011

CCM YAIONYA CHADEMA KWA KAURI ZAKE!!
Katibu wa halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi ya CCM Capt. John Z. Chiligati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ziara za Cadema na Kudai kwamba Kauri wanazo zitoa katika Mikutano yao ni Hatari kwa Taifa na kwamba wanapandikiza Chuki mbaya miongoni mwa watanzania.Mazungumzo hayo yalifanyika leo.Kushoto ni Katibu Mwenezi wa Chama hicho Tambwe hizahttp://prhabari.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...