Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, March 6, 2011

NCCR MAGEUZI KUFANYA MIKUTANO KIGOMA KWA WIKI MOJAMkuu wa Idara ya Itikadi na Mafunzo wa chama cha NCCR Mageuzi Bw.George Kahangwa (kulia) akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam leo kuusu ziara ya chama chao itakayoanza leo Jimbo la Kasulu Mkoa wa Kigoma kushoto ni Ofisa Utawala wa chama hicho Bw. Florian Rutayuga

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...