Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, March 6, 2011

WAFANYABIASHARA WAVAMIA NJE YA JENGO LA MACHINGA COMPLEX


Wafanyabiashara 'Wamachinga' wakitengeneza mbao nje ya jengo la Machinga Complex Dar es Salaam jana kwa ajili ya kupangia bidhaa zao

Baadhi ya wafanyabiashara wakifanya nje ya jengo la Machinga Complex Ilala Dar es salaam LEO baada ya kuamishwa katika soko la Mchikichini

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...