Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, March 8, 2011

tigo yafanya mkutano na wafanayakazi wake wa kujitegemea

Ofisa Uhusiano wa Tigo Tanzania, Jackson Mmbando (kushoto) akizungumza kuhusu huduma mbalimbali za Tigo Pesa kwa baadhi ya wafanyakazi wa kujitegemea wa timu ya mauzo ya Tigo Pesa katika mkutano wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Mauzo wa Tigo Tanzania, Brahim Nallar (kulia) akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa kujitegemea wa timu ya mauzo ya Tigo Pesa katika mkutano wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Ofisa Uhusiano wa Tigo Tanzania, Jackson Mmbando (wa pili kulia) akitoa maelekezo jinsi ya kupata huduma mbalimbali za Tigo Pesa kwa kutumia simu ya mkononi kwa baadhi ya wafanyakazi wa kujitegemea wa timu ya mauzo ya Tigo Pesa katika mkutano wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...