Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, March 1, 2011

ZAHORO MATELEPHONE AZINDUA UUZAJI WA SIMU MPYA ZA TIMNO JIJINI DAR ES SALAAM

Mkurugenzi wa Maduka ya Zahoro Matelephone yaliyoko Kariakoo jijini Dar es Salaam, Zahoro Hamisi (kulia) akimuelekeza mteja ubora wa simu za mkononi za TINMO wakati wa uzinduzi rasmi wa uuzaji wa simu hizo maeneo ya Karume jijini.Simu ya TINMO anauza kwa Shilingi 35,000/= za Kitanzania.

Akizungumza na mtandao huu wa Machellah.blospot.com, Zahoro alisema amezindua huduma hii akilenga zaidi Watanzania wa hali ya chini ambao hawawezi kununua simu za bei kubwa, hivyo kwa bei ya 35,000 anaamini hata Mtanzania mwenye hali ya chini anaweza kununua na kumiliki simu ya TNMO

Alisema Zahoro simu ya TINMO ina Camera,Radio,Inasehemu mbili za kuweka kadi za simu (Double line), Blututh,Inasehemu ya kuweka Memory Card, MP Player na anatoa Gerentii ya mwaka mmoja kwa yeyote atakaye nunua simu hiyo kutoka kwenye duka lake.
Maduka ya Zahoro Matelephone yanapatikana maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Saalaam,ama wasiliana na Zahoro Matelephone kwa namba ya Simu 0712-500000.Anauza simu hizo kwa rejareja na jumla.

Wateja wakipata huduma ya kununua simu kwenye moja ya duka la Zahoro Matelephoni Kariakoo jijini Dar es Salaam
Mmoja wa wauzaaji wa simu wa duka la Zahoro Matelephoni, Gaucho akiuza simu katika moja ya maduka Kariakoo jijini Dar es Salaam
Gaucho akiuza simuZahoro Matelephone anamjali kila mteja na anawakaribisha wote kwenye maduka yake Kariakoo jijini Dar es Salaam.

Zahoro Hamisi Matelephone (kulia) akimuhakikishia ubora wa simu ya TINMO mteja wakati wa uzinduzi huo
Abdul Venance wa Kampuni hiyo akiwaelezea wateja Ubora wa Simu hizowakati wa Uzinduzi huo
Wasanii wa Ngoma wa ktoka Makumbusho jijini Dar es Salaam wakitoa burudaniwakati wa uzinduzi huo.
Wasanii wakifanya vitu vyao.
Haayahaya
Abdul akiwaelezea kwa makini wateja
Burudani ikiendelea
Wateja wakiangalia
Burudani ya Matarumbeta ikiendelea wakati wa uzinduzi huo
Matarumbeta yakitoa burudani
Abdul na Shaban wakiwaelezea wateja

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...