Mkurugenzi wa kundi la Alwaten Artist Theatre Haji Dilunga  akisisitiza jambo wakati wa mazoezi ya kundi hilo 
 
WASANII wa kundi la  Alwaten Artist 
Theatre lipo mbioni kutoa kazi zake mpya mwishoni mwa mwaka huu baada ya
 kutoa kazi nane zilizopita 
 
Akizungumza Mkurugenzi wa kundi la 
Alwaten Artist Theatre Haji Dilunga  amesema kuwa kundi lao lenye 
malengo mazuri ya wasanii chipkiz nchini kwa kuwa sasa sanaa ni ajira 
 
kwa wasanii na kuongeza kuwa wanapokea wasanii wachanga kwa ajili ya kujifunza sanaa kwa ajili ya kuendeleza vipaji vyao 
 
alitoa wito kwa wasanii kuja kujiunga na kikundi chao kilichopo AMANA CCM kwa ajili ya mazoezi 
DILUNGA ALIONGEZA KWA KUWAPA NAFASI WENYE NIA YA KUJIUNGA WANAWEZA KUWASILIANA KWA NAMBA ZA SIMU 0754430906 AU 0653970337  
Ili wajiunge kwa mafunzi hayo alitaja baazi ya kazi walizowai kutoa ni Uwanja wa Zambi, Ilove Yuo,PicNick,Bunge la Wachawi 
Popo Bawa 
Zindiko  
na nyingine nyingi zilizopo sokoni kwa sasa | 
No comments:
Post a Comment