Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, October 20, 2012

tigo mama africa circus SME
Wasanii wa kikundi cha sanaa cha Mama Afrika  wakionyesha umahiri
wao wakati wa onyesho la sarakasi la Tigo Mama Afrika lililoandaliwa
na Tigo kwa wafanyabiashara wadogo jijini Dar es Salaam jana.

Wasanii wa kikundi cha sarakasi  Mama Afrika  wakionyesha umahiri
wao wakati wa onyesho la sarakasi la Tigo Mama Afrika jijini Dar es
Salaam jana.

Wasanii wa kikundi cha sarakasi cha cha Mama Afrika wakionyesha
umahiri wao wakati wa onyesho la sarakasi la Tigo Mama Afrika Circus
lilidhaminiwa na Tigo jana jijini Dar es Salaam.

Badhi ya watu waliohudhuria onyesho la sarakasi la Tigo Mama
Afrika lililodhaminiwa na Tigo wakishanglia huku wakiwa hawaamini
macho yao kutokana na umahiri uliokuwa ukionyeshwa na wasanii kwa
kundi la sarakasi la Mama Afrika jinni Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...