Siku hiyo pia kutakuwa na mapambano mengi ya kiushindani ya kuwekana sawa nani zaidi ya mwingine kati ya mabondia wa mabibo na mwananyamala.