Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, October 22, 2012

VIONGOZI WA UAMSHO WAPANDISHWA KIZIMBANI LEO, Washitakiwa kwa makosa ya uchochezi na kusabisha vurugu.


Kiongozi wa Jumuiya ya UAMSHO Sheikh Farid Hadi Ahmed, akishuka kwenye gari la Polisi kuelekea kwenye Mahakama ya Mwanakwerekwe Mjini Zanzibar leo kusomewa mashtaka yanayowakabili ikiwemo kusababisha fujo na uchochezi.
Mmoja wa viongozi wa UAMSHO Sheikh Azan Khalid Hamdan (43) akishuka kwenye gari la polisi kuelekea mahakama hiyo ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar.
Magari yaliyoongoza msafara wa viongozi hao ambao ulikuwa na ulinzi mkali wa jeshi la polisi kikosi cha Kutuliza Ghasia

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...