Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, October 21, 2012

Ndovu Special Mult yaleta Changamoto kwenye Matangazo.


Wakazi wa jiji la Dar Es Salaam wakishuhudia namna bia ya Ndovu Special Malt ilivyofanikiwa kuwekwa katika teknolojia ya hali ya juu zaidi naya Kwanza Nchini Tanzania ya 3D ambayo inamfanya mtu kuweza kuona picha hizo kwa ukaribu mkubwa zaidi na ubora Zaidi.Bango hilo lipo eneo la Conner Bar Sinza
Sehemu ya wa watu wakishudia bango hilo na teknolojia hiyo mpya ambayo italetaongeza shindani wa matangazo hapa nchini hasa  kwenye soko la vinywaji.nalodh.

TUNASHUHUDIA!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...