Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, October 30, 2012

BONDIA MTANZANIA SAID MBELWA KUGOMBANIA MKANDA WA WBO (World Boxing Organization) Intercontinental middleweight championshipSaid Mbelwa of Tanzania poses ahead of his WBO (World Boxing Organization) Intercontinental middleweight championship fight against Afghan-German boxe
Bondia Said Mbelwa waTanzania akipima uzito jana kwa ajili ya mpambano wake wa kugombania ubingwa wa  WBO (World Boxing Organization) Intercontinental middleweight championship na bondia kutoka  against Afghan-German boxer Hamid Rahimi  Bondia Said Mbelwa waTanzania akibusu bendera ya taifa mara alipowasili nchini  against Afghan kwa ajili ya mpambano wake wa kugombania ubingwa wa  WBO (World Boxing Organization) Intercontinental middleweight championship na bondia kutoka  against Afghan-German boxer Hamid Rahimi


Afghan-German boxer Hamid Rahimi, left, poses with Said Mbelwa of Tanzania ahead of their WBO (World Boxing Organization) Intercontinental middleweigh
Mabondia wa nchi ya Afghan-German  Hamid Rahimi, kushoto , wakiwa wanangaliana kwa usongo na  Said Mbelwa wa Tanzania wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao wa leo kugombania ubingwa wa WBO (World Boxing Organization) Intercontinental middleweight championship fight in Kabul, Afghanistan,

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...