Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, October 18, 2012

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam,Sheikh Issa Ponda na Wengine 50 Wapandishwa Kizimbani Leo Jijini Dar es Salaam


 Picha juu na chini ni washaktakiwa zaidi ya 50 wakiwa pamoja na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam,Sheikh Issa Ponda wakiwa ndani ya karandimnga la polisi 
 Baadhi ya akina mama wanaounganishwa kwenye mashtaka hayo pamoja na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam,Sheikh Issa Ponda
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam,Sheikh Issa Ponda (wa tatu kulia)leo akiwa ndani ya mahakam ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo na wenzake 50 kujibu mashtaka mbalimbali pamoja na kuwashawishi baadhi ya Waislamu kuvamia eneo la Kiwanja katika eneo la Chang'ombe jijini Dar es Salaam, kuwashawishi Waislamu kutojitokeza katika zoezi la Uandikishaji katika Sensa ya Watu na Makazi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...