Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, October 17, 2012

NSSF YAWAFIKIA WASANII WA FILAMU TANZANIA Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Cricentus Magori akizungumza wakati wa uzinduzi wa vikundi na kulathimisha na kukabidhi kadi kwa wanachama za NSSF wanachama wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) pamoja na kutoa Cheti kwa Shirikisho hilo.
Meneja Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akizungumza na wasanii wa Filamu Tanzania. 
 Meneja Matibabu wa Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) akizungumza katika hafla ya kutoa kadi kwa wasanii wa Filamu Tanzania
 Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba akizungumza katika hafla hiyo.
 Wasanii mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo
 Wasanii waliohudhuria hafla hiyo wakijisomea jarida la NSSF kujua faida za kujiunga na mfuko huo
 Baadhi ya wasanii waliohudhuria hafla hiyo
 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Cricentus Magori akimkabidhi cheti cha kujiunga na NSSF, Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba. Kushoto ni Mkurugenzi wa Liro, Suleiman Ling'ande. 
 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Cricentus Magori akimkabidhi msanii wa Filamu, Steven Nyerere kadi ya Uanachama wa NSSF

1 comment:

  1. nice info..asante
    visit my blog
    http://mollelpixels.blogspot.com/
    GO BEYOND THE TECHNOLOGY

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...