Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, October 21, 2012

MLUNDWA VS HAYNES WALIVYOPAMBANA

HII NI SEHEMU YA MOJA YA MATANGAZO YA KWENYE GAZETI KIPINDI HICHO MCHEZO MKUBWA TANZANIA ILIKUWA NGUMI LAKINI KWA SASA AZIPEWI KIPAUMBELE NA WANA HABARI INGAWA TUPO NAO BEGA KWA BEGA KUENDELEZA MICHEZO NCHINI HONGERENI WANA HABARI NA MJIFUNZE KUTOKEA HAPA ILI TUIPE MICHEZO YOTE NAFASI YA KUSIKIKA KWA WAPENZI WAKE

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...