Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, October 29, 2012

H.Baba amshutumu Diamond kwamba anabeba watu wa kumshangilia


H.Baba
Mwanamuziki wa miondoko ya Bongo Bolingo, H Baba jana kwenye kipindi cha Tagzweek, amevunja ukimya kwa kusema mwanamuziki Naseeb Abdul 'Diamond' amekuwa na tabia ya kubeba mashabiki wa
kumshangilia kwenye show zake au sehemu yoyote anayoenda ili kuonekana maarufu. H. Baba alisema mambo hayo amekuwa akiyafanya mara nyingingi, lakini kibaya zaidi kilikuja kumuuma kitendo cha mwanamuziki huyo kuja na watu wa kumshangailia hata kwenye msiba wa gwiji wa filamu nchini R.I.P Steven Kanumba jambo ambalo kwake anaona kama kumkosea mungu. H. Baba amesezidi kutiririka kwa kusema pia mwanamuziki huyo anatabia ya kubeba picha zake kupeleka kwa waandishi, wakati yeye na mpenzi wake  Flora Mvungi wanatafutwa na waandishi kwaajili ya kupata picha, lakini wao wanpeleka picha kwa waandishi.Diamond Plutnam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...