Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, October 30, 2012

WAZIRI WA VIWANDA BIASHARA NA MASOKO Dkt. ABDALLAH KIGODA AZINDUA TAWI JIPYA LA BENKI YA STANBIC


 Waziri  wa Viwanda ,Biahara  na Masoko Dkt. Abdallah Kigoda akizindua tawi jipya la Benki ya Stanbic Kariakoo ambalo linakuwa la pili  katika eneo hilo la Kariakoo sokoni  jijini Dar es Salaam, mpaka sasa Stanbic inajumla ya matawi kumi na moja kwa nchi nzima .katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa benki hiyo Abdallah Singano(kushoto)Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara wa benki ya Stanbic Douglas Kamwendo
Waziri  wa Viwanda ,Biahara  na Masoko Dkt. Abdallah Kigoda akikalibishwa na Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara Douglas Kamwendo wakati wa hafala fupi ya uzinduzi wa tawi jipya la Benki ya Stanbic Kariakoo ambalo linakuwa la pili  katika eneo hilo la Kariakoo sokoni jijini Dar es Salaam, mpaka sasa Stanbic inajumla ya matawi kumi na moja kwa nchi nzima.Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa benki hiyo Abdallah Singano
  Waziri  wa Viwanda ,Biahara  na Masoko Dkt. Abdallah Kigoda akiagana na Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara wa benki ya Stanic Douglas Kamwendo baada ya hafla fupi ya uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo Kariakoo Sokoni.
  Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Stanbic Tawali la Kariakoo sokoni wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika hafala ya uzinduzi wa tawi la Kariakoo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...