Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, October 23, 2012

SPIKA MAKINDA AHUDHURIA MKUTANO WA IPU MJINI QUEBEC CANADA.


Spika wa Bunge la Tanzania Mh.Anne Makinda akimtambulisha Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania Mh.Dk.Perpetua Nderakindo, Kessy, kwa Balozi wa Tanzania nchini Canada Mh.Alex Masinda kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 127, wa Chama Mabunge Duniani (IPU) inaofanyika Mjini Quebec Canada.
Spika Wa Bunge la Tanzania Mh. Anne Makinda, akifuatilia maazimio mbalimbali pamoja na taarifa zilizo zikiwasilishwa kwenye Mkutano wa Chama Cha Mabunge Duniani (IPU) wakatiwa Ufunguzi wa Mkutano wa 127, wa taasisi hiyo, Mjini Quebec Canada. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Canada Mh.Alex Massinda na Mh.Hamad Rashid.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...