Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, August 13, 2013

BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA SIMBA WATUNDURU WAZIPIGA KAVU KAVU LIVERais wa TPBO LIMITED Yassini Abdallah 'Ostadhi' katikati akiwamulizia mabondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto na Simba Watunduru baada ya kusaini mkata wa kupambana August 30 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam Picha na BLOG YA SUPER D 
Rais wa TPBO LIMITED Yassini Abdallah 'Ostadhi' akimkabizi mkataba wa makubaliano bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kutia saini jana katika ofisi za TPBO LTD Dar es salaam Picha na BLOG YA SUPER D
Rais wa TPBO LIMITED Yassini Abdallah 'Ostadhi' akimkabizi mkataba wa makubaliano bondia Simba Watunduru baada ya kutia saini jana katika ofisi za TPBO LTD Dar es salaam Picha na BLOG YA SUPER D
Rais wa TPBO LIMITED Yassini Abdallah 'Ostadhi' kushoto akimwangalia bondia Simba Watunduru anavyo usoma mkataba wake kabla ya kutia saini Dar es salaam jana Picha na BLOG YA SUPER D
Rais wa TPBO LIMITED Yassini Abdallah 'Ostadhi' kushoto akimwangalia bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akitia saini mkataba wake Dar es salaam jana Picha na BLOG YA SUPER D
Mabondia Simba Watunduru kushoto na Ibrahimu Class 'himu Class' King Class Mawe' wakiangaliana kwa usongo wakati wa kutambilisha mpambano wao wa masumbwi utakaofanyika August 30 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam Picha na BLOG YA SUPER D
Mabondia Simba Watunduru kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakitunisha misuli wakati wa kupiga picha kwa ajili ya kutangaza mpambano wao Picha na BLOG YA SUPER D
Mabondia Simba Watunduru kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakitunishiana misuli wakati wa kutangaza mpambano wao Picha na BLOG YA SUPER D
KING CLASS MAWE
Simba Watunduru
Ibrahimu Class 'King Class Mawe'
Rais wa TPBO LIMITED Yassini Abdallah 'Ostadhi' katikati akiwamulizia mabondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto na Simba Watunduru baada ya kusaini mkata wa kupambana August 30 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam Picha na BLOG YA SUPER D 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...