Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, August 13, 2013

RASHIDI MATUMLA MANENO OSWARD WAPAMBANA TENA KWA MARA YA NANE


Bondia Rashidi Matumla kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Maneno Osward wakati wa mpambano wao uliofanyika katika uwanja wa jamuhuri morogoro wakati wa sikukuu ya iddi pili mchezo huo ulitoka droo na imekuwa ni mara ya nane tangia waanze kupambana mpambano wao wa kwanza ulikuwa mwaka 2001 picha na SUPER D
Bondia Rashidi Matumla kulia akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Maneno Osward wakati wa mpambano wao uliofanyika katika uwanja wa jamuhuri morogoro wakati wa sikukuu ya iddi pili mchezo huo ulitoka droo na imekuwa ni mara ya nane tangia waanze kupambana mpambano wao wa kwanza ulikuwa mwaka 2001 picha na SUPER D
Refarii Antoni Lutta katikati akiwainua mikono juu mabondia mikono juu kuashilia ni droo
Bondia Deo Njiku kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka Wwakati wa mpambano wao ubingwa wa taifa PST
Mabonia Cosmas Cheka kushoto akioneshana umwamba wa kurushiana makonde na Deo Njiku wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa taifa WA PST PICHA NA SUPER D
Mabonia Cosmas Cheka kushoto akioneshana umwamba wa kurushiana makonde na Deo Njiku wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa taifa WA PST PICHA NA SUPER D
Cosmas Cheka akishangilia ushindi
Baadhi ya mashabiki wakiimba wimbo wa taifa
Bondia Chiota Chimwemwe wa Malawi akiwa na wasaidizi wake wakiimba wimbo wa taifa lao

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...