Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, August 20, 2013

MABONDIA RAMADHANI SHAURI NA COSMAS CHEKA WASAINI MKATABA KUPAMBANA 27 MWEZI WA KUMI



Bondia Ramadhani Shauri kushoto akisaini mkataba wa kucheza ubingwa wa UBO utakaofanyika tarehe 27 mwezi wa 10 jijini Dar es salaam na mpinzani wake kushoto Cosmas Cheka wa Morogoro wengini ni Promota Kaike Silaju na Makamu Mwenyekiti wa PST Aga Peter nyuma picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Cosmas Cheka wa Morogoro  akisaini mkataba wa kucheza ubingwa wa UBO utakaofanyika tarehe 27 mwezi wa 10 jijini Dar es salaam na mpinzani wake  Ramadhani Shauri kushoto wengini ni Promota Kaike Silaju na Makamu Mwenyekiti wa PST Aga Peter nyuma pamoja na kocha wa Cheka Power Iranda  picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Promota wa Mpambano wa Ubingwa wa UBO Kaike Siraju katikati akiwanyoosha mikono juu mabondia Ramadhani Shauri kushoto na Cosmasi Cheka watakaopigana tarehe 27 jijini Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ramadhani Shauri akizungumza na waandishi wa habari kushoto ni kocha wake Christopher Mzazi na Promota Kaike Siraju

Bondia Ramadhani Shauri akizungumza na waandishi wa habari

Bondia Cosmas Cheka akiongea na waanishi wa habari

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...