Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, August 22, 2013

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AFANYA MABADILIKO BARAZA LA WAMAZIRI WA SERIKALI YA MAPINDUZI
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Haji Omar Kheir,kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimuapisha Haroun Ali Suleiman, kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Zainab Omar Mohamed, kuwa Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana  Wanawake na Watoto,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...