Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, August 22, 2013

MFUKO WA GEPF WAKABADAIDHI MSAADA WA BATI SHULE YA NYANG'ORO SEKONDARI


Afisa wa mfuko wa akiba ya wafanyakazi serikalini  Bw Sunday J. Siwale (kushoto) akimkabidhi katibu  wa  mbunge  jimbo la Isimani Bw Thom Malenga  ,msaada  wa bati 100 zenye thamani ya Tsh milioni 2.5 kwa ajili ya ujenzi  madarasa mawili katika  shule ya  sekondari Nyang'oro jimbo la Isimani ,msaada  huo umetolewa baada ya jitihada za mbunge wa  jimbo la Isimani Bw Wiliam Lukuvi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...