Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, August 14, 2013

LHRC Yahamasishaji Ushiriki Mchakato wa Rasimu ya Katiba Mpya Mvomero


Baadhi ya wafanyabiashara vijana wa Kata ya Doma-Mvomero wakijadili rasimu ya katiba mpya pamoja na wawezeshaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) hivi karibuni Wanakijiji wa Kijiji cha Kambala Kata ya Hembeti wilayani Mvomero wakijadili rasimu ya katiba mpya pamoja na wawezeshaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Mmoja wa wawezeshaji jamii wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Bw. Zakayo akihamasisha wananchi wa Kata ya Doma-wilayani Mvomero kushiriki katika mchakato wa katiba mpya.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...