Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, August 16, 2013

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN APOKEA ZAWADI YA KINYAGO CHA TWIGARais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (kulia) akipokea zawadi ya Kinyago cha Twiga kutoka kwa Msanii maarufu Mzee Otmar Francos Mpanda kutoka Mkoani Mtwara wilaya ya Masasi,pia akiwa Mzee wa CCM Wilaya hiyo,hafla hiyo ilifanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...