Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, August 19, 2013

BONDIA IDDY MNYEKE AMTWANGA MWALIMU ALONI KWA POINTI


Mabondia Mwalimu Alon kushoto na Iddy Mnyeke wakioneshana uwezo wa kutupiana makonde wakati wa mpambano wao wa kirafiki uliofanyika manzese mwishoni mwa wiki iliyopita Picha na  BLOG YA SUPER D

Bondia Iddy Mnyeke kushoto akimshambulia Mwalimu Alon wakati wa mpambano wao uliofanyika Manzese Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita MNyeke alishinda kwa pointi
Bondia Lucas Mkenya kushoto akipambana na Adamu Yahaya wakati wa mpambanbo wao wa upingwa wa Taifa uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita 
Lucas Mkenya akivalishwa mkana baada ya kumdunda mwenzi
Bondia Sadick Momba kushoto akipambana na Amos Mwamakula wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa taifa momba alishinda K,O raundi ya kumi Picha na  BLOG YA SUPER D
Bondia Sadick Momba kulia akipambana na Amos Mwamakula wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa taifa momba alishinda K,O raundi ya kumi Picha na  BLOG YA SUPER D

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...