Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, August 31, 2013

KING CLASS MAWE,THOMASI MASHALI,CHEKA WAENELEZA UBABE KWENYE MASUMBWI NCHINI

Bonia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Simba Watunduru wakati wa mpambano wao uliofanyika siku ya ijumaa katika ukumbi wa Diamondi Jublee King class alishinda kwa pointi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Add captionBonia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Simba Watunduru wakati wa mpambano wao uliofanyika siku ya ijumaa katika ukumbi wa Diamondi Jublee King class alishinda kwa pointi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Chipaki Chipindi  kushoto akionwshana umwamba wa kutupiana makonde na Alphonce Mchumiatumbo katika mpambano wao mchumiatumbo alishinda kwa TKO
Bondia Deo Njiku akioneshana kazi na Alan Kamote wakati wa mpambano wao wa utangulizi Kamote alishinda kwa Point
Bondia Mada Maugo akijikakamua kumpiga konde Thomasi Mashari wakati wa Mpambano wao uliofanyika jana wa kugombania Ubingwa wa WBF AFRICA Mashari alishinda kwa pointi mpambano huo picha zaidi tembelea www.superdboxingcoach.blogspot.com
Thomasi Mashari kushoto na Maa Maugo wakioneshana umwamba
Bondi Fransic Cheka kushoto akioneshana umwamba na Phill Williams wa Marekani wakati wa kugombania  ubingwa wa WBF uliofanyika katika ukumbi wa diamondi jublee cheka alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...