Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, August 27, 2013

KUTOKA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO


IMG_0407 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge  wa Mbinga Magharibi Capt. John Komba, bungeni mjini Dodoma Agosti 27,2013.
IMG_0409 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka  bungeni mjini Dodoma Agosti 27, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
IMG_0432
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,  ambaye pia ni Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma AGOSTI 27,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...