Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, August 31, 2013

KINYWAJI CHA BAILEYS KUTOKA KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI CHADHAMINI MAONYESHO YA MAVAZI YA NECHA YALIYOFANYIKA USIKU WA KUAMKIA JANA JIJINI DAR


 
Picha mbalimbali za maonesho ya mavazi katika uzinduzi wa maonesho ya mavazi ya NECHA yaliyodhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti Ltd (SBL), kupitia kinywaji chake cha BAILEYS yaliyofanyika katika Ukumbi wa Alliance Francaise jijini Dar es Salaam. Kinywaji cha baileys kikionekana kutawala ukumbini pamoja na vinywaji vingine vinavyotengenezwa na SBL katika hafla hiyo. 
Mwakilishi wa kampuni ya Serengeti Breweries Ltd (SBL) akizungumza kuwakaribisha wageni waalikwa katika maonesho hayo ya mavazi kabla ya kuanza kwa hafla hiyo. 
Baadhi ya wageni waalikwa wakiburudika na kinywaji cha Baileys huku wakishuhudia maonesho hayo ya mavazi.
 
Baadhi ya wageni waalikwa wakipiga picha za kumbukumbu katika eneo maalumu la kupigia picha katika hafla ya maonesho ya mavazi iliyodhaminiwa na kinywaji cha Baileys Baadhi ya wageni waalikwa katika uzinduzi huo wakibadilishana mawazo baada ya maonesho huku wakiburudika kwa vinywaji vya wadhamini wa hafla hiyo (SBL)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...