Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, August 22, 2013

SUPER D AMWAGA SUMU KWA MABONDIA ANAOWAFUNDISHA



Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila'Super D' akimwelekeza bondia Saidi Mbelwa jinsi ya kutupa ngumi uku bega lake likisapoti ngumi kuwa na nguvu zaidi wakati wa mazoezi anayoyatoa bule katika ufukwe wa gymkhana Dar es salaam jana Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Tanzania Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa  katika picha ya pamoja na mabondia kushoto ni Ibrahimu Class 'King Class Mawe', Cosmas Kibuga,Saidi Mbelwa na Shomari Mirundi baada ya kumaliza kwa mazoezi yanayoendelea katika ufukwe wa gymkhana Dar es salaam jana icha na BLOG YA SUPER D
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimfundisha jinsi ya kurusha makonde bondia Saidi Mbelwa wakati wa mazoezi yaliyofanyika ufukwe wa gymkhana Dar es salaam yanayotolewa bule na kocha huyo kwa ajili ya kuhamasisha mchezo wa masumbwi nchini Picha na blog ya www.superdboxingcoach.blogspot.com
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimwelekeza bondia Saidi Mbelwa jinsi ya kupiga ngumi uku kidevu chake kikiwa kimeficha na bega kwa ajili ya kukinga ngumi za mpinzani wake wakati wa mazoezi yaliyofanyika Dar es salaam jana Picha na Blog ya www.superdboxingcoach.blogspot.com
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia Saidi Mbelwa jinsi ya kupiga ngumi ya kifua pamoja na chembe kwenye kivaa maalumu kwa ajili ya kupiga ngumi mbalimbali za tumbo 'Body Punch' wakati wa mazoezi Dar es salaam jana Picha na SUPER D

SUPER D AKIZUNGUMZA NA MABONDIA WALIOJITOKEZA WAKATI AKIGAWA SUMU ZA KUWEZESHA MABONDIA HAWO KUPIGA NGUMI ZA AINA MBALIMBALI NA ZA UMAILI WA ALI YA JUU Dar es salaam jana Picha na SUPER D

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...