Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, August 23, 2013

MKUTANO WA CHADEMA LUDEWA, SONGEA


  Mmoja wa wakazi wa mji wa Ludewa, Thadey Ngairo, akitoa maoni yake kuhusu katiba mpya, mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, wakati wa mkutano wa hadhara wa Mabaraza ya Wazi ya chama hicho wa kujadili katiba mpya mjini Ludewa. (Picha na Joseph Senga)
Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, akiwahutubia wananchi wa mji wa Songea, katika mkutano wa hadhara wa Mabaraza ya Wazi ya chama hicho, kujadili rasimu ya katiba mpya, uliofanyika mjini Songea.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...