Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, August 14, 2013

WASHINDI WA AIRTEL YATOSHA WAPEWA ZAWADI ZAO MJINI DODOM


 Afisa masoko wa Airtel Hendrick Werner (kushoto) wakifurahia wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi pesa taslimu shilingi milioni moja, Siasa Yahaya (katikati)aliyeibuka mshindi kupitia promosheni maalumu ya Airtel yatosha.Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za Airtel Dodoma. Kushoto ni David Nkwadi ambaye ni mfanyakazi wa kitengo cha huduma kwa
wateja wa Airtel Dodoma.
Afisa masoko wa Airtel  Dodoma, Hendrick akimkabidhi mshindi wa wiki wa promosheni ya Airtel Yatosha Bw. Siasa Yahaya ambaye aliibuka mshindi kupitia droo maalum ya  YATOSHA kwa wiki hii, promosheni hii inaduma kwa siku 90. hafla fupi ya kumkabidhi pesa Bw Yahaya ilifanyika katika ofisi za Airtel Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...