Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, January 12, 2012

BETHDEI YA CONSOLATHA MAHANGA YAFANA


Mishumaa iliyopo kwenye keki iliyoandaliwa maalumu kwa Mtoto Consolatha Mahanga, ikiwashwa ikiwa ni ishara ya mtoto huyo kuadhimisha miaka 14 ya kuzaliwa kwake. Hafla hiyo ilifanyika katika Mgahawa wa Breakpoint, katikati ya Jiji la Dar es Salaam.

Consolatha 'CONSO' akikata keki wakati hafla ya kuadmidha kumbukumbu ya kutimiza miaka 14 ya kuzaliwa kwake

Conso akisaidiwa na dadake, Happy (kushoto) pamoja na mdogo wake Upendo kukata keki


Dada Grace Michael ambaye ni mwanafamilia wa karibu akilishwa keki na Conso

Conso akilishwa keki na dadake Happy

Sasa ni wakati wa kujichana msosi
Conso akilishwa keki na Irene Mark ambaye ni rafiki wa karibu wa Grace Michael
Ilikuwa ni furaha ya aina yake

Mwanafamilia Grace Michael akimnywesha juisi Conso
Walipata wasaa pia wa kutembelea Jumba la kibiashara la Quality Centre, lililopo Barabara ya Nyerere, jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...