
Baadhi ya mabondia wakifanya mazoezi katika klabu ya Amana CCM Dar es salaam jana

Mabondia wa timu ya Amana Ilala, Dar es salaam wakifanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo jana kushoto ni Chalo Issa na Omari Bai

Mabondia wakifanya mzoezi ya kutupa masumbwi hewani

Mabondia wakielekuzana jinsi ya kupiga ngumi wakati wa mazoezi

ngumi mawe masumbwi boxing
No comments:
Post a Comment