Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, January 12, 2012

VISIWA VYA PEMBA NA UNGUJA KUADHIMISHA MIAKA 48 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YALIYOTOKEA 1964


Watanzania kote nchini kesho wanaungana na wananchi wa visiwa vya Unguja na Pemba kuadhimisha miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyotokea mwaka 1964. Maadhimisho hayo yanafikia kilele chake baada yakifuatiwa na sherehe mbalimbali zilizofanywa na taasisi mbalimbali visiwani humo ili kuadhimisha mapinduzi hayo yaliyoondoa utawala wa Kisultani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein anatarajiwa kuongoza maadhimisho hayo ambapo viongozi mbalimbali wa ndani na nje yak nchi ikiwemo wa vyama vya siasa wanatarajiwa kuhudhuria katika maadhimisho hayo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...